Siku ya jumatatu,
Katika kijiji cha nyakasanda,ujiji,Kigoma Dhoruba ya radi ime acha maafa ya vifo vya wanafunzi wanne na mwaimu mmoja! Huku wengine 17 wakiachwa wamejeruhiwa vibaya.Maafa hayo yalitokea wakati wahanga hao wakiwa darasani.
Willium Lutuhi,ambaye ni kiongozi wa serikari za mitaa katika wilaya ya kasulu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kuweza kututembelea mtandaoni.
Post a Comment