KITONGA au SEKENKE;WEWE UNA ONA NINI??
Pichani ni Mandhari ya kitonga!
Una ambiwa ukiambiwa Unapenda vya Kitonga Ina maana unapenda vya bure!
Kwangu ukiniuliza Kuhusu msemo huu nita kwambia "ume tazama uelekeo mmoja tu,uelekeo wa Mbeya Dar! Uelekeo wa Dar Mbeya.... Kitonga ni Senkenke iliyo jivika ngozi ya Kondoo!!
Kinyume chake kwa Sekenke pia.... Ni kitonga iliyo jivisha ngozi ya kondoo!!
Naam;
Unapo kitazama jambo lolote lile kwanza jiulize Una litazama kutokea wapi? Upande gani??
Maana ina wezekana Uliko simama wewe Unacho kitazama kama TATIZO ni fursa kwa upande wa pili pia!!
Jaribu kubadili Postion yako;kisha tazama tena!
UNA ONA NINI??
Mlima au Mteremko?
Sekenke au Kitonga....!
UTAKACHO KIONA MBELE YAKO,ITATEGEMEANA UNA KITAZAMA KUTOKEA WAPI!!
Yeah;Unaona nini!
Picha Na MTEMBEA BURE wa MJUMBE BLOG.
Kitonga
Iringa.
MJUMBE BLOG
Tunakushukuru ndugu mtembeleaji kwa kutupa fursa tukuhudumie!
Karibu tena.
Post a Comment