Unknown Unknown Author
Title: MWALIMU JAMES ZOTTO:BAADA YA KUTUPIA PICHA ZA MJENGO WAKE HUU AME ANDIKA HAYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
James Zotto; To Allah; to my cousin, Augustino; to my neighbours; to my parents; to my friend, Dr. Hamis Bakari; to engineers, Benny Chil...
James Zotto;
To Allah; to my cousin, Augustino; to my
neighbours; to my parents; to my friend, Dr. Hamis
Bakari; to engineers, Benny Chilla Tenga and
Mataka; to archtect, Warith Sultan,to all my friends
and family thanks for supporting me.

Picha ya Kwanza.


Picha ya pili.


Kwa walio wahi Kusoma Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji,Mbeya Miaka ya 2009/2011 jina hili sio geni maskioni pao.

Jamsi Zotto,amekuwa muhadhiri wa kudumu katika chuo kikuu cha UDSM,Kitivo cha sanaa na Historia.

Pia ni Msomi ambaye ame somea masuala ya diplomasia na Migogoro.

Ni miongoni mwa walimu wachache walio na uwezo mkubwa katika taaluma zao walizo zichukua.Ni MAKINI mno wakati wote katika kazi zake na Hachanganyi kazi yake na Masuala mengine.

Kwake kazi ni Kazi! Na masuala mengine ni Mengine tu.

Kwenye Kozi ya ZOTTO,Usi fikirie kupendelewa ama kupewa usicho stahili!

Kwa mwanafunzi mvivu wa kusoma vyanzo mbali mbali na kujitegemea Zotto sio chaguo lao!

Narudia tena;
Nime kutana na walimu wengi,wenye uwezo mkubwa na Hata umahiri wa kufundisha.
Zotto ni mwalimu ambaye nilikuwa nasoma kozi yake huku najivunia... ...Jamaa hakuwahi kufanya mzaha linapo kuja suala la kitaaluma! Na hasa Kwenye somo analo simamia yeye! Alikuwa very Strictly na Firm kwenye maamzi yake asiye yumbishwa kirahisi.

James Zotto,siku zote alikuwa akitusisitiza kwamba "Ingelikuwa vema kama muda wote tunao kuwepo chuoni tunge utumia kwa ajili ya kusoma rejea mbalimbali na Vitabu... Tuwekeze fedha zetu kwenye kununua Vitabu na Masuala mengine ya kitaaluma badala ya kuwa 'HALF EMPTY,HALF FULL' Kuwa nusu nusu!! Mara kuwa na gheto lenye Sub woofer na Masofa Utazani Mwana kijiji ile hali ni wana funzi! Kuwa na fenicha ghali ile hali Darasani hakuna alama nzuri kwake ali amini ni sawa na kazi bure..."

Leo ame onesha yale aliyo kuwa akiya hubiria muda wote kwa vitendo baada ya kusimamisha JENGO ambalo kwa wengine ni mithiri ya Kasri!!

Huyu ndiye JAMES ZOTTO! Hizi ndizo fikra za Mwalimu Zotto! Fikra za UJENZI wa makazi ya kudumu na sio ujenzi wa reja reja!!

Big up Mzee wa ZIKOMO KWA MBILI.


MJUMBE BLOG
Tuna kupongeza kwa kutumia huduma zetu.
Karibu tena.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top