UKATILI ZIDI YA ALBINO:SHAFIH DAUDA AFUMBUA KINYWA NA KUANDIKA HIKI!
Kufuatia wimbi la Mauaji ya kikatili yanayo fanywa zidi ya wenye ulemavu wa ngozi "Albino" na watu wasio julikana.
Kume kuwepo na Kauli mbalimbali zinazo tolewa na makundi mbalimbali na watu mbali mbali nchini.
#Shafih Dauda;ame tumia Picha hiyo katika ukurasa wake na kuandika maneno yafuatayo:
'Tume agizwa upendo.Kuwa wa kwanza kupinga mauaji zidi ya albino.'
#MIMI NITAKULINDA.
#BOB CHACHA WANGWE;
Naye pia ame kaririwa akiwa ame andika maneno haya:
'Nime tangaza kuwa balozi,
Nimetangaza kuwa mlinzi na pia nime tangaza rasmi vita zidi ya mauaji ya Makusudi zidi ya wenzetu wenye ulemavu wa ngozi...'
#ZITTO KABWE
'Chama cha ma albino nchini Tanzania kime tangaza maandamano ya kulaani mauaji ya ngozi.Tuwa unge mkono.Tuweke watu 100,000 barabarani tuwa ambie wenye mamlaka kuwa sasa imetosha.'
Tarehe 02 March 2015
#02032015
#Stopalbino Kilings
#Chukuahatua
#Mimi pia.
#DIAMOND PLATNUMZ'Ndugu zangu nafikiri ni muda wa kubadilika sasa... Tuache Fikra potofu,za kipuuzi na ukatili usio na maana... Hivi unataka unambie hao akina Bill Gate,(Ana wataja majina baadhi ya matajiri);walitajirika kupitia ukatili huu wa albino..?? Juhudi na utendaji wako wa kazi ndio utakao kufanya uendelee na kuyafikia malengo unayo yataka... Tuache kujidanganya na kuwa tesa ndugu zetu wasio na Hatia.'
#EDDO KUMWEMBEame kaririwa akisema:Tanzania... Nchi inayo ongoza kwa drama.eti kulikuwa na ulinzi mkali katika mazishi ya mtoto albino aliye uawa kwa kunyofolewa viungo.Sasa ulinzi mkali wakati wa mazishi una saidia nini? Watu hawakulindi ukiwa hai wanakulinda siku ya mazishi yako.
#MJUMBE BLOG
Tuna laani vitendo vya Ukatili Wowote unao fanywa zidi ya wenye ulemavu wa ngozi.
TUSAIDIANE KUPAZA SAUTI HII.
PINGA UKATILI HUU.
MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kutumia huduma zetu.
Post a Comment