Pichani ni gari la kuzoa taka likiwa lime achwa wazi bila kuzuia taka hizo,Kijijini Mlowo,Mbozi.
Hili ni Dampo linalo tembea..
Kwa Mtazamo wangu;
Bora taka zilizo jalalani,kuliko kutoa taka eneo lilipo Dampo la soko kuu la Kijijini Mlowo na kuzisambaza kwa mtindo huu.
Kanuni za afya zizingatiwe wakati wote wa zoezi hili ili kuondoa usumbufu kwa wananchi na Kuepusha uchafu kuhamishwa kutoka lilipo Dampo na kusambazwa mtaani kama hivi.
Picha Hisani ya MAKTABA ZA MJUMBE BLOG.
Karibu tena Ututembelee,Mdau wetu.
Post a Comment