RASLIMALI:MADINI YA DHAHABU,KIJIJINI AMANI;CHIMBO LA DODOMA!
Pichani ni Taswira ya Mandhari ya eneo linalo chimbwa Dhahabu,Kijijini Amani,Kitongoji cha Chimbo Amani.
Ni Shughuli za uchimbaji Mdogo zina endelea katika bonde la Kijiji cha Amani,Wilayani Ludewa;Njombe.
Mdau wa MJUMBE BLOG ame shuhudia baadhi ya Wachimbaji wadogo hao waki okota mabaki ya Dhahabu kwenye miamba iliyo salia baada ya Mvua kunyesha na kusafisha Miamba hiyo.
Wenyeji wa kitongoji cha Chimbo/Dodoma walikaririwa waki sema Uchimbaji huo uli ibuka miaka ya tisini ambapo dhahabu ili kuwa ikipatikana kiurahisi sana na kwa wingi.Tofauti na leo ambapo upatikanaji wake ume kuwa wa kubahatisha.
Kilicho Mshangaza Mdau wetu sio Dhahabu wala Uchimbaji unao endelea eneo hili bali ni DHAHABU Ambazo zime kuwa zikiokotwa Kwenye miamba mbali mbali na wachimbaji hao...
Jambo ambalo ni kama njozi!
HAKIKA TANZANIA KAMA TAIFA NI NCHI YA KUJIVUNIA KUISHI NDANI YAKE!!
Karibu kijijini Amani,Karibu ufike chimbo la Dodoma pia.
Asante ya picha MTEMBEA BURE wetu.
Picha Na:MAKTABA ZA MJUMBE BLOG.
MJUMBE BLOG Tunashukuru kwa kutupa fursa ya Kukuhudumia,karibu tena.
Kweli ng'ombe wa maskini hazai
ReplyDelete