![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvINoRb7OM1pxWzRcmCIImHQW8oP4soD6jvjHManExmjhl-RjbtL4g58SacgdJzEmKSF5dJY8DYtNsN-uwnX0tSONeqrupHP5bYnblokFR4xhHfGddfJPxDBJB1nBL2lz6U1QVzLe5H0q-/s640/1430452735823.jpeg)
Mmliki wa hali halisi publishers bwana Kubenea ametakiwa kulipa milioni 4 kwa defamation ya chapisho no. 096 la mei 7 2008 lilichapisha habari iliohusu tuhuma za ufisadi katika shirika la bima la taifa NIC kumfikia waziri mkuu Mizengo Pinda.
Hukumu hiyo imetolewa na MÃ hakama Kuu Kanda ya Arusha wakitakiwa kulipa milioni 4 kuanzia Leo mpk April I 30 1016. Pamoja na kuomba radhi ambapo toleo la Leo la mawio limefanya hivyo.
Soma Mawio kwa radhi walioomba.
MJUMBE BLOG
Ni Ukurasa wa Habari,Picha,Matukio,Matangazo.
#KUJERUHI hisia za watu/mtu si Kusudi letu.
MAONI PIGA:0752025002
Post a Comment