Unknown Unknown Author
Title: AJABU NA KWELI...! MLEMAVU HUYU AENDESHA BAISKELI YA MIGUU MIWILI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ndugu Thomas Yona akiendesha baiskeli ya miguu miwili,jana huku aki katiza mitaa ya Ubungo na kupishana na Magari kwa umahiri mkubwa! Jambo...

Ndugu Thomas Yona akiendesha baiskeli ya miguu miwili,jana huku aki katiza mitaa ya Ubungo na kupishana na Magari kwa umahiri mkubwa! Jambo linalo waduaza wengi.
Tofauti na wengine wengi wenye ulemavu ambao mara nyingi hutumia baiskeli ya miguu mitatu.Amekua akitumia usafiri wake huo kila mara.


Huu ni ushuhuda kuwa UNAPO KUWA NA NIA KILA KITU KINA WEZEKANA!


....With Determination;Every thing is Possible.
Kutoka kwa Mashuhuda na Wachangiaji mbalimbali:


1. ....real, huyu kaka mungu amjalie sana, mara nyingi nimekuwa nikimuona maeneo ya ubungo akiokea barabara ya mwenge kwenda kimara, actually yuko very confortable na anaovyopishana na magari kweli utaamini mungu ni mwema na utaamini ulemavu sio mwisho wa matatizo. binafsi nampenda sn na mungu amzidishie


2. .....Mimi nimewah kumuona mungu ana maajabu yake...

3. ....Think how many times he had to fall before he learned to balance that bike correctly. Persistence!

4. know that guy! He is so funny and many ppo like him!!


5. ....Less is always more..on 2010 bike caravan a guy with one leg,amputees at the mid thigh came and rode on normal bike..due to his an amazing will of steel,he was spotted by Norwegians para- Olympic personnels and as I'm writing this now he works as para Olympic bike race coach...

Photo|Emmanuel Herman

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top