Unknown Unknown Author
Title: NIME SHAWISHIKA KUGOMBEA UDIWANI KATA YA MOYOVWIZI,MBOZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kijana aliye julikana kwa jina la OWEN CHIMELA akiwa ametangaza nia ya kugombea udiwani kata ya moyovwizi,jimbo la mbozi mashariki. Kilic...

Kijana aliye julikana kwa jina la OWEN CHIMELA akiwa ametangaza nia ya kugombea udiwani kata ya moyovwizi,jimbo la mbozi mashariki.

Kilicho nifanya ni vute umakini kwenye hii picha ni hilo neno "NIME SHAWISHIKA".


Kila la kheri OWEN CHIMELA!!

Vijana ndiyo chumvi ya Taifa letu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top