![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNPOR2YKsn62P896n3KxZyfYeussrMkfRYoqb3cVwIKYx0Bp4pyl1ommiojX_Zz81M5M383rFY5kUdFMSjQkFxo7XDuNarX5TzR-cc6Wg96IxrAyyAE9myweOdX01XMT9KmgOnBfPdFsbK/s640/1430716914757.jpeg)
Pichani ni hali ilivyo kwa wasafiri katika baadhi ya vituo vya Daladala leo,Dar es salaam
Kuna taarifa pia kutoka mkoani Kigoma za kufanyika kwa Mgomo wa daladala;
Ambapo ripota wetu ameshuhudia wananchi ambao ni abiria waki tembea kwa miguu badala ya kuabiri kwenye vyombo vya usafiri kama kawaida.
Katika baadhi ya maeneo ambayo mgomo wa daladala ume tekelezwa;
Watahiniwa wa kidato cha sita wame onekana kupata wakati mgilumu kuwasiri vituoni mwao jambo ambalo lime zungumziwa kama ni kuhatarisha kesho ya watahiniwa na Taifa kwa ujumla kwa mashuhuda.
Kwa matukio na Update mbali mbali Tutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni kila mara.
MJUMBE BLOG
Ni Ukurasa wa Habari,Picha,Matukio,Matangazo.
#KUJERUHI hisia za watu/mtu si Kusudi letu.
MAONI PIGA:0752025002
Post a Comment