Unknown Unknown Author
Title: PICHA:JENGO LA MTAA WA LIVING STONE NA NARUNG'OMBE LIKIWAKA MOTO LEO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza moja ya jengo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa LivingStone na Narung'ombe, Kariakoo jijini Dar e...



Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza moja ya jengo lililopo kwenye makutano ya Mtaa wa LivingStone na Narung'ombe, Kariakoo jijini Dar es salaam muda huu. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.




MJUMBE BLOG
Ni Ukurasa wa Habari,Picha,Matukio,Matangazo.

#KUJERUHI hisia za watu/mtu si Kusudi letu.
MAONI PIGA:0752025002

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top