![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWwj9wZOQwmM_O3SNTySVKZF0o_ZQpCKcvql2POfMcI6cjy89I6xlTqWCKI06NgWHrvkruTzbOP4bfGyDZaawCN85h_fKqLieO4eq_RhckcEiiMNNdkcJywDM5zt5t94KeXTrkZlvdPEEH/s640/1431009277150.jpeg)
As received๐๐๐
Hali ya nvua na mafuriko ni kubwa mno na angalia hapa Channel 10 Ofisini.
1.Barabara ya Morogoro RD imefungwa Jangwani.
2.Kijitonyama na Temeke pia Salender .hali ni tete.
3.Kamanda Kova anashauri watu kuondoka mjini mapema. Na kusikiliza maelekezo ya polisi barabarani.
ANGALIZO:
Kama huna shuhguli ya msingi maeneo ya kinondoni, kariakoo, jangwani, muhimbili, upanga, posta, na maeneo ya karibu na hayo, usiende kwa siku ya leo, kuns foleni kubwa mno. Kwani daraja la jangwani limejaa maji mpaka maji yanapita juu ya daraja, kwa hiyo imepelekea polisi kufunga barabara ya morogoro kuanzia mapipa mpaka fire ni hatari..."
Post a Comment