![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi21ATIyZTpncND_WzNAmZIXwyRjplyqjBkGEDBEiPL7U4Xio7z-NECh7zNzDDU_aOl7XYEDBUKRpKO6HvOtcY4disTqvfDi3icTLuICrub1haF4vBJswgbvFnQrnX-AFujowh-MjKOitiQ/s640/1430937113691.jpeg)
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6AWU8VxqE17NRYjkr2LJvVPH2oRJIJDrL9HBh6SJOPLKW7ttfNV9FsCC77T9Wq67cubTHMBRkOIWx7SAZ1vOpskzjXo2vIuVBnX3UJ6WQxmZmd0jZK7_XbxzukcXUes-IRkalpT3r_F55/s640/1430937138752.jpeg)
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara 2014 - 2015.Kushoto ni Rais wa TFF, Jamal Malinzi na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji.
PONGEZI ZA DHATI ZIWAFIKIE TIMU NZIMA YA YANGA NA MASHABIKI WAKE KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VIDACOM TANZANIA BARA 2014/2015
Post a Comment