Maandalizi yanaendelea katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid Arusha. Mh Edward Lowassa ataongea na wananchi. Pia mkutano huu utaonyeshwa LIVE na ITV, EATV (Channel 5), Clouds TV na Channel Ten.
NIFOLENI KAMA ILE YA KWENDA KWA BABU LOLIONDO ati....
Kibonzo kikiwa kime toa taswira ya kinacho endelea ndani ya CCM zidi ya mbio za Urais,Oktoba 2015!
Picha zote hisani ya mitandao ya kijamii.
Post a Comment