BVR 8000 ZAWASILI NCHINI USIKU WA TAREHE 28/5/2015 Picha zinaonyesha BVR zikipakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa Dar es salaam kuelekea Bohari kuu,wataalamu wakihakiki mashine moja baada ya nyingine. Ikumbukwe mashine moja ya BVR ni $6765 na zoezi linaendelea kanda ya Tano Mikoa ya Mara,Manyara,Arusha na Kilimanjaro.
Maandalizi ya Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo 29/5/2015 zaidi ya BVR 1492 zinaanza kusambazwa na Tume ya Uchaguzi Kuanzia mapema Alfajiri Kanda ya Tano ni Mikoa ya Mara,Arusha,Manyara na Kilimanjaro
Post a Comment