Unknown Unknown Author
Title: JK AWA ANDALIA FUTALI WATOTO IKULU;DAR ES SALAAM!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya Ikulu jijini Dar...

Baadhi ya watoto yatima kutoka katika vituo mbalimbali vya malezi mkoa wa Dar es Salaam wakipata futari katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam jana jioni.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimia na baadhi watoto yatima kutoka vituo mbalimbali vya malezi aliowaalika kupata futari katika viwanja vya ikulu jana jioni. 
Picha na Freddy Maro

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top