![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiScyafC7DJRLNQ6ll-NEZdWoeQlu31QC1Frcu8EWaSJrZzNT0JBRhIU-jxeLIvuYv8QK4W46HquoXkuTd8mFf3nVK6iswgGBHkVqwPTbKwl3Ap-j3raeYTodQ2sTWfty2bvsPElHShlzLt/s640/1435676957766.jpeg)
Naam;
KAMA TUKI AMUA KWA NIA MOJA;INA WEZEKANA.
Wame thibitisha hilo wenzetu Uganda....
Hongera Eddy Kenzo kwa ushindi wako kwenye kipengere cha msanii bora wa kimataifa.
#Globalmision
East Afrika ume tutoa kimasomaso.
Uwakirishi wenu katika tathinia ya sanaa kimataifa umedhihirika.
#PONGEZI ZIWA FIKIE.
Jirani zetu Uganda wame rudisha heshima Afrika mashariki baada ya kutwaa tuzo moja.
Katika tuzo za BET zilizo fanyika Los Angelous,Marekani ambapo mastaa kibao akiwemo Beyonce,Nick Minaj na wengine wengi wali jizolea tuzo zao.
Post a Comment