DAR MPAKA NSONGWE USAFIRI BORA ZAIDI NI FLIGHT...!
Pichani ni Ankali Steven Sinka(Nichorous) aki
Naam;
'...ili tubadili mfumo wetu wa maisha ambao hatu upendi ni lazima TUBADILI JINSI ya KUFIKIRI...'
Tubadili jinsi ya kuitazama dunia yetu..
Na kama ni lazima tubadili mkao na uelekeo wetu.
Mdau wetu wa MJUMBE BLOG;
Unapo kuwa Mikoa ya nyanda za juu kusini au Dar es salaam.
Ukaanza kufikiria kilometa zaidi ya 800 umbali kwa njia ya basi...
Masaa zaidi ya kumi barabarani! Ushuke na kupanda...
Upumzike kweye hotel na ukwepane na foleni au ajali....
FIKIRI TENE UPYA....
Anza kufikiria njia mbadala ya usafiri.
Njia yenye ufanisi na isiyo chosha pia jipatie fursa ya kujinetwork na wenye FIKRA Tofauti na wanao itazama Tazama kutoka engo tofauti ya dunia...
Ambao wanatumia dakika kadhaa kusafiti kilometa zaidi ya 800...
Sio njia nyingine ya usafiri bali ni usafiri kwa njia ya anga.
Ungana na wenzako wengi walio amua kuokoa muda na fedha zao.
Fuatilia ratiba za ndege kwanza kabla hauja lazimika kuchukua gari.
Nchi hii ni yetu sote.
Kama haujui jinsi ya ku draft ratiba za ndege hasa Dar/Mbeye_Nsongwe!
Unaweza uka tupigia kwenye 0752025002 ili tukupe maelekezo na njia rahisi zaidi ya kupata tiketi yako.
WE FLY...
SKY is not a Limit...!
Post a Comment