Jaji Lubuva akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za NEC alisema "hadi sasa walio jiandikisha wame fikia idadi ya wapiga kura 18,828,718 si haba na kama tume tume farijika tumeona tuongeze siku nne mbele ili watu wa mkoa wa Dar es salaam wajiandikishe zaidi."
Tofauti na hapo awali ambapo zoezi la uansikishwaji mkoani Dar es salaam lilipangwa lifike mwisho tarehe 31 July siku nne zaidi zime ongezwa na tume ili kufikia malengo ya awali ambapo kati ya watu milion 24/25 wali tegemewa kuandikishwa katika zoezi hilo linalo tumia mfumo mpya nchini wa BVR.
Post a Comment