Pichani ni Maporomoko yajulikanayo kama KAPOROGWE!
Unapo tazama maji yaki anguka kutoka kwenye mwinuko mkali na kutua tena aridhini ni fahari iliyoje?
Unapo jipumzisha mbali na shughuli zako za kila siku na kujipa muda wa kutembelea vivutio vilivyopo ndani ya jiji la Mbeya na vijiji vilivyo kando ya jiji,shughuli za kiuchumi,tamaduni,masuala ya mila na desturi za wenyeji wako yata ufanya mwili,ubongo na Akili yako vipate burudani na kujirefresh kwa ajili ya kuanza juma mpya kwa kasi na nguvu mpya!!
Yapo wapi?
Wasiriana na Uyole Cultural Tourism Tourism(UCTE), kupitia mratibu wao Amos Asajile Mwaigomole kwenye Namba 0756929868 ili ujipatie huduma zao zaidi kwa masuala ya vivutio,utalii na kuwa ongoza wageni kwenye vivutio mbalimbali vilivyopo mkoani mbeya na vijiji vilivyo kando ya jiji.
Pia utakuwa katika nafasi nzuri zaidi na salaama ya kuweza kuji network na marafiki wapya watakao kuongezea horizon ya upeo wako kimaisha na kimtazamo.
UYOLE CULTURAL TOURISM ENTERPRISE ndo akina nani?
Wana patikana Uyole ya kati Opposite na Neema Sanitarian Clinic
Wana jihusisha na utoaji wa huduma za kitalii kwenye vijiji vilivyo kando ya jiji la Mbeya!
Usi wakose hawa jamaa!!
Wao wana sema DISCOVER UNEXPECTED!!
Credit Picha:UCTE.
Post a Comment