Leo ni siku ambayo wajumbe wata amua hatima ya CHADEMA Mbozi.Kupata ushindi wa kishindo ama kubaki wapinzani Oktoba 25! Kutatokana na chaguo watakalo fanya leo.
Hima mwana wa Mbozi sauti toka nyikani ya MABADILIKO ina walilia jimbo lina toa machozi....
Komboa jimbo lililo telekezwa!
Kwa kura yako turufu.

Kwa Wajumbe wote:
Maamzi yako leo;Matokeo ya kesho...
Amua vema.#Chagua_Mabadiliko!
Kwa manufaa ya wana Mbozi wote.
KUMBUKA:Kura yako moja ina wakirisha wana Mbozi tulio wengi ambao tuna tamani MABADILIKO YA DHATI...!
Tuna waomba wajumbe mtutendee haki.
#Pascal_Haonga!
Mtia nia jimbo la Mbozi....
Kipenzi cha wana Mbozi.
Mpe neno leo kabla ya kura za maoni hazija anza kupigwa rasmi.
#Tumu_ombee
Mtia nia wetu aishinde #rushwa dhuluma #Chuki
Tuombe HAKI ITENDEKE.
#TUTA_SHINDA_MAKAMANDA
Pascal Haonga Tuna Imani naye.

Pascal Haonga;katika dakika za lala salama aki karibishwa na wajumbe wa kijiji cha Hatelele/Shiwinga.

Post a Comment