
Akiongea na waandishi wa habari asubuhi ya leo
jumanne tarehe 21 july 2015 aliyekuwa Mbunge
wa jimbo la Kahama kupitia tiketi ya chama cha
Mapinduzi CCM ametangaza rasmi kukihama
chama hicho na kujiunga na wapinzani wao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo –
CHADEMA.
Mbunge huyo amesema kilichomkimbiza CCM ni
uongozi mbaya hususani ngazi ya Mkoa ambapo
kumekithiri rushwa na ubabaishaji.
Pia Lembeli amemshukuru rais Kikwete na
wanachama wengine waadilifu wa chama cha
MapinduzI, huku akiweka wazi kwamba
atagombea tena Ubunge jimbo la Kahama Mjini.
Post a Comment