
Taarifa zilizo tufikia katika meza yetu hivi pinde uteuzi wa awali jimbo la Mbozi MWALIM PASCAL HAONGA APENYEZA KILELENI:
Matokeo jimbo la mbozi
1.Pascal Haonga 82
2.Fred Haonga 34
3.Abdul Nindi 21
4.Sofia Mwabenga 8
5.A. Kabenga 4
Wengine hawajapata kura hata moja.
Zoezi la uchaguzi limekuwa huru na haki. Chadema mbele...."
uteuzi wa awali jimbo la vwawa
fanuel mkisi kura 136
steven mwamengo kura 42
solomoni kibona kura 22
endru bukuku kura 9
fadhiri shombe kura 8
dikson kibona kura 5
jonathani mwashilindi kura 5
furaha mwazembe kura 3
gift kalinga kura 1
jerwa silwimba kura 1
Alicho sema Fanuel Mkisi;
"...Wanajukwaa Kama Nilivyowaahidi Kuwa Leo Ilikua Kura Ya Maoni Jimbo La Vwawa.Matokeo Tayari Nliwaahid nikishinda su Kushindwa Nitawabrief.Kati Ya Wagombea 14 Nmeibuka Kidedea Kwa Kupata Kura 136 Kati Ya Kura 251.Nawadhukuru Marafiki Kwa Kuntia Moyo Na Kunishauri Nasubiri Barska Za Kamati Kuu...."
Pongezi kwa washiriki wote katika kinyang'anyiro!!
Zaidi ya yote HONGERA SANA PASCAL HAONGA!
Kamanda mpambanaji.
HONGERA FANUEL MKISI!
HAKIKA WAJUMBE MME WATENDEA HAKI WANA MBOZI!!
Post a Comment