Unknown Unknown Author
Title: UPDATE KURA ZA MAONI JIMBO LA MBOZI NA VWAWA;CHADEMA TUME KUWEKEA HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa zilizo tufikia katika meza yetu hivi pinde uteuzi wa awali nafasi ya kuwania ubunge jimbo la Mbozi kupitia CHADEMA MWALIM PASCAL HA...

Taarifa zilizo tufikia katika meza yetu hivi pinde uteuzi wa awali nafasi ya kuwania ubunge jimbo la Mbozi kupitia CHADEMA MWALIM PASCAL HAONGA APENYEZA KILELENI:


Matokeo ya awali jimbo la mbozi;

1.Pascal Haonga 82

2.Fred Haonga 34

3.Abdul Nindi 21

4.Sofia Mwabenga 8

5.A. Kabenga 4

Wengine hawajapata kura hata moja.

Zoezi la uchaguzi limekuwa huru na haki. Chadema mbele...."


Uteuzi wa awali jimbo la vwawa;

1.Fanuel Mkisi kura 136

2.Steven Mwamengo kura 42

3.Solomoni Kibona kura 22

4.Endrew Bukuku kura 9

5.Fadhiri Shombe kura 8

6.Dickson Kibona kura 5

7.Jonathani Mwashilindi kura 5

8.Furaha Mwazembe kura 3

9.Gift Kalinga kura 1

10.Jerwa Silwimba kura 1


Alicho sema Fanuel Mkisi;


"...wanajukwaa kama nilivyo waahidi kuwa leo ilikua kura ya maoni jimbo la Vwawa. Matokeo tayari niliwaahidi nikishinda au kushindwa nitawabriefu. Kati ya wagombea 14 nimeibuka kidedea kwa kupata kura 136 kati ya kura 251. Nawashukuru marafiki kwa kunitia moyo na kunishauri nasubiri baraka za kamati kuu...."


Pongezi kwa washiriki wote katika kinyang'anyiro cha kupeperusha bendera ya CHADEMA jimbo la Mbozi na Vwawa!!


Zaidi ya yote HONGERA SANA PASCAL HAONGA!
Kamanda mpambanaji.

HONGERA FANUEL MKISI!


HAKIKA WAJUMBE MME WATENDEA HAKI WANA MBOZI!!

Salaam hizi zimfikie Godfrey Zambi na mawakala wake wote.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top