Unknown Unknown Author
Title: LOWASA KUHAMIA UKAWA EDDO ATOA UCHAMBUZI WAKE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hiki ndicho alicho Kisema Eddo Kumwembe; ".....CCM kuongelea ubaya wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujichungulia nyeti zake...Cha...

Hiki ndicho alicho Kisema Eddo Kumwembe;

".....CCM kuongelea ubaya wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujichungulia nyeti zake...Chadema kuongelea uzuri wa Lowassa kwa sasa ni sawa na mtu kujitekenya na kucheka mwenyewe....Vyote vinahitaji uso usio na soni"-Edo kumwembe.

Elastic Mbella;
In politicS we had Permanent INTEREST not permanent enermy!!

...Wanapo okoka na kukiri kwa kinywa chao kuwa UKAWA NI NJIA PEKEE YA KUELEKEA IKULU Tuna wapokea na kuwabatiza upya ili wa zaliwe upya!!


In conflict theory:
Two enermy tend to unite when they had a cimmon ENERMY.



Unapo ona mwathirika wa mfumo kandamizi ana rejea zizini huku akichechemea ni USHINDI ulioje?

Hata malaika wa mbinguni wana furahi kwani SAUTI YA UKOMBOZI IME WAFIKIA WENGI.


Unapo ona MPAMBANAJI Mwenzenu ana jiunga na UPANDE wa MFUMO kandamizi ni Dhahiri ame asi.


Kuna Habari zisizo raami kuwa Mhe Edward Lowasa baada ya kuwepo na ati ati za yeye kuhamia UKAWA;Chama na serikari wame jipanga kwenda kimburuta kwa pilato kwa kashfa kadhaa zinazo mkabili;

Mdau wa MJUMBE BLOG ame kaririwa akisema:

👆👆👆👆👆👆
😂😃😂😃


Kuna hadithi moja niliwahi simuliwa...

Kibaka aliye kwapua Mali ya Mwananchi na kuanza kukimbia kwa kasi...

Wale jamaa wali amua kumuungia kwa kasi alipo ona hawa choki kumfukuzia!

Aliamua akimbilie kituo cha polisi huku akijiita "MIMI MWIZIII"


MIMI MWIZIII...


😂😃😂😃
Jamaa wakawa wana mfukuzia kimya kimya...


Akaona isiwe nongwa akajirushia kituoni na kuingia moja kwa moja selo huku aki tamka 'mimi mwiziiiii'


Jamaa walipo ufikia mlango wa kituo cha polis wali mwomba afande wa zamu kuwa jamaa ana matatizo ya akili...

Jamaa aliendelea kujiita mimi mwizii!!


Nauona ule ule wa kumufukuzia mwizi kimya kimya...


Una wapa presha MANYONYA DAMU!
🙊🙉🙊🙉



YANA JIPELEKA KWA PILATO....



Nami nasema ngoja tuya Arest....





🏃👣👣👣👣

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top