Unknown Unknown Author
Title: MWALIMU HUYU MNOKO....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni mwalimu flani mnoko kutoka shule flani akiziharibu simu walizo kamatwa nazo wanafunzi wakizimiliki kinyume na kanuni na tarayibu...

Pichani ni mwalimu flani mnoko kutoka shule flani akiziharibu simu walizo kamatwa nazo wanafunzi wakizimiliki kinyume na kanuni na tarayibu za shule.




Naam;
Mwalimu mnoko....
Huchukiwa na wanafunzi wote wanapo kuwa shuleni Lakini pia hupendwa daima na wahitimu wake....

Maana huwa halei UJINGA! Wala uzembe bali ana hakikisha ana walea wanafunzi hao katika njia iwapasayo.

Hachelei UPUUZI.


SIO VIBAYA KUMILIKI SIMU KATIKA ZAMA HIZI BALI NI UNA MILIKI WAPI? NA LINI?


Sikuzote kumbuka kanuni hii ya KITENDO sahihi,MUDA sahihi na MAHALI sahihi.

Vinginevyo utakua una fanha vurugu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top