Unknown Unknown Author
Title: HABARI MBAYA USIKU HUU:AJALI YAUA NA KUJERUHI KADHAA SIMIYU....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
TAARIFA ZA HUZUNI: Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema zaidi. Abiria 20 wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria 40 wakijeruhi...

TAARIFA ZA HUZUNI:
Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema
zaidi. Abiria 20 wamefariki dunia usiku huu,
huku zaidi ya abiria 40 wakijeruhiwa vibaya
baada ya basi la kampuni ya SIMIYU
EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka
Mwanza kwenda DSM kupasuka tairi na
kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha
kupinduka.
Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana
kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi
sasa bado kuna miili haijatolewa kwenye
mabaki ya basi hilo kutokana na kuharibika
vibaya na kubaki mithili ya nyama.

MWENYEZI MUNGU AZILAZE MAHALA PEMA
PEPONI ROHO ZA MAREHEMU NA KUWAPA
NGUVU FAMILIA ZOTE ZA MAREHEMU
AMEEN.
22 Jul 2015

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top