Unknown Unknown Author
Title: PICHA TATU:OBAMA AMPA LIFT DADAKE NDANI YA GARI LAKE RASMI 'THE BEAST'!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais Obama akipokewa na dadake wa kambo bi Auma Obama na hata akamruhusu kusafiri naye ndani ya gari lake rasmi The Beast. Gari rasmi...

Rais Obama akipokewa na
dadake wa kambo bi Auma
Obama na hata akamruhusu
kusafiri naye ndani ya gari lake
rasmi The Beast.

Gari rasmi The beast aliyo itumia Obama


Obama akishiriki chalula na ndugu zake usiku

Credit:Picha bbc

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top