Leo saa nne asubuhi Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa monduli atachukua fomu ya kugombea urais kupitia chama cha demokraaia na maendeleo(CHADEMA).
Tukio hili litafanyika katika ofisi kuu za chama mtaa wa ufipa;Kinondoni.
Wa Tanzania wapenda mabadiliko wote mnakaribishwa ili kushuhidia tukio hilo na shamrashamra za wanachama wapya watakao ambatana na mhe.Edward Lowasa.
Post a Comment