Unknown Unknown Author
Title: TANZIA:TUME MPOTENZA NDUGU YETU MPENDWA 'GOD'!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wadau nasikitika kutangaza kuwa tume mpoteza ndugu yetu mpendwa #GOD...! Nime pokea taarifa iliyo nigusa na kuni acha nisiwe na ujasiri ...


Wadau nasikitika kutangaza kuwa tume mpoteza ndugu yetu mpendwa #GOD...!

Nime pokea taarifa iliyo nigusa na kuni acha nisiwe na ujasiri wa kutoa kauli kwa muda.

Ni taarifa za msiba wa mdogo wetu,ndugu,jamaa,rafiki yetu.

Godfrey Kasonso;pumzika kwa amani...
Aliye poteza maisha kwa ajali ya gari eneo la meta;ame tunyetishia mtoa taarifa huyo.

Wewe mbele sisi nyuma safari ni moja.

You gonne too soon bruh.

MWENYE ENZI MUNGU AKUPE WEPESI.

Kwa ndugu,jamaa na marafiki MUNGU awape roho ya uvumilivu na mshikamano katika kipindi hiki kigumu tulicho nacho.

Bwana alitoa;bwana alitwaa.
Jina la bwana lihimidiwe.
Ameni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top