Unknown Unknown Author
Title: UZI HUU HAPA:KWENYE SIASA HATUNA ADUI WA KUDUMU;BALI INTEREST ZA KUDUMU...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rushwa Chukua Kura Usimpe UKISTAAJABU YA MBOWE NA LOWASSA BASI HUJUI YA NYERERE DHIDI YA GADAFFI NA LOWASA Na : Florian Mgeni; (mchamb...

Rushwa Chukua Kura Usimpe
UKISTAAJABU YA MBOWE NA LOWASSA BASI
HUJUI YA NYERERE DHIDI YA GADAFFI NA
LOWASA

Na : Florian Mgeni; (mchambuzi wa Siasa na
mtaalam wa Fedha)

Huwa namkubali sana Julius Nyerere,
inawezekana kuliko mwanasiasa yeyote Afrika
ukimwondoa Kwame Nkrumah japo nasktka
watanzania hatujifunz matendo yake mazuri.
Ntafafanua kivip.....

Rafiki yangu Elias Sese mhitimu wa shahada ya
Political Science kutoka UDOM, KITI Ma mazungumzo
yetu ya kisiasa hupenda sana kusema;

"IN POLITICS, THERE IS NO PERMANENT FRIEND
OR ENEMY, BUT THERE IS A PERMANENT
# INTEREST"
Akimaanisha katika siasa iwe za ndani au kimataifa,
hakuna urafiki au uadui wa kuduma Bali kuna
LENGO MOJA KUU LA kudumu.

UHALISIA:
Je unazan Mwl Nyerere angewezaje kukomaa
kuendeleza beef lake na Ghadafi akat anajua
wanashea mawazo sawa ya kuiungansha Afrika
na kuipigania kimaendeleo!!
Gaddafi alishirikiana na Idd Amin kuipga Tanzania
na walifankiwa kupoteza # damu za watz kadhaa
na kila mtz aliumia sana si tu kupoteza dam Bali
Mali zao kusaidia wanajesh. Nyerere alifankiwa
kuwashinda na kuwatukana vibaya mno, lakin
mwisho wa Siku japo Nyerere anatambua damu
za watanzania zilipotea, alirudisha moyo wake kwa
Gadafi na Gadafi hakuwa na hiyana na
kukuinyesha urafk wao ulivokuwa mkubwa,
Gadaffi alijenga hadi msikiti kijijini kwa Nyerere,
Butiama. Na had miaka ya karibun Libya
imekuwa ikiisaidia Tanzania kifedha
Sasa je Mwalim angejifanya kuogopa maneno ya
watanzania wenye akili mgando ambao wangemponda
utakuwaje na urafiki na mtu ulemtukana? Akaua
watz....

Ndo ingekuwa nini sasa faida yake zaidi ya
kuendekeza beef za kishamba zilizopta, wakati wote
wana the same interest kuiungansha Afrika!

Ni Nyerere aliempa onyo Mkapa asije akamteua
Lowasa katika baraza lake la mawaziri akiwa rais
1995(baada ya kupewa faili lililopkwa kifitna na
usalama wa taifa TISS ili kumharibia Lowasa
mbio za urais 1995);

Lakini ni Nyerere # uyouyo aliesafiri had Dar 1996
kuja kumshawish Mkapa amrudishe Lowasa katika
baraza la mawaziri kwa kuwa ni mtendaj makini
sana( baada ya mkurugenzi mstaafu wa TISS,
Mzee Imram Kombe kumfwata Nyerere Butiama
na kumpa ukweli faili lile LA Lowasa lilipkwa na
wapnzan wake kisiasa kwa kuusisha baaz ya
watendaj wa TISS)

NB: Imram Kombe aliuawa 1998 kwa makusudi na
polisi, waliokuja kufungwa maisha ila Rais Kikwete
kawatoa kimyakimya juzjuz baada ya sakata LA
Richmond kupta.

Kwa mtanzania makin atakuwa amejifunza
Nyerere alipogundua kuna faida itapatkana
nkmaliza ugomv na adui na kumshirikisha au
kushirikiana nae katika malengo sawa aliyonayo adui
na mimi kuna faida kubwa na ni bora kumaliza
uadui.

Adui mkuu wa Mtanzania sio Prof Muhongo, Lowasa,
Jairo, Chenge, au Magufuli Bali ni utawala mbovu
wa CCM, ambao utafit wa siri wa UKAWA
uligundua hauwez kuondoka bila kuipasua CCM
ata ingemsmamisha nan!!
Na hakuna mwanasiasa mwenye nguvu zaid ya
Lowasa nchin kulingana na utafit huo ivo kumtoa
CCM ni bonge LA move lililochezwa na
mwanasiasa bora alepewa tuzo kwa kukuza
upinzan ndugu Mbowe.
Lowassa anakubalika kwa robo tatu ya wabunge
wa CCM, wenyeviti wa mikoa na wilaya wa CCM,
na wajumbe weng wa halmashauri kuu ya CCM
ambao itakuwa ni rahis kuiujum CCM wakat wa
uchaguz kwajili ya Lowasa, hii ni faida kubwa
kwa wagombea wa UKAWA kwa msiojua vizuri
siasa
ALAFU NI KITU CHA KAWAIDA SANA MAHASIM
KISIASA KUSHIRIKIANA ila sjajua watz wenzangu
huwa hatulion hili ndo tunaliona kwa Mara ya
kwanza kwa Mbowe na Lowasa ndomana
tunashangaa???

Kada maarufu wa zaman wa CUF, Tambwe Hizza
alekuwa mwiba mkali kwa CCM na aliwai kusema;

"akija kuhamia CCM lazma atasex na mama yake",
alikuja kuamia CCM, mbona tulichukulia simple tu
na akapewa Kazi pale Makao Makuu.

Dr Aman Kabourou katibu Mkuu wa zaman
CHADEMA alirud CCM, alikuwa noma uyu jamaa
kama umeanza kufwatlia siasa baada ya lowasa
kuamia chadema uliza wakongwe jins alivokuwa
akipeana madongo na CCM na aliwai kuchana
hadharan na kuisigina katba ya CCM...

Mmesahau CCM kumweka jela miaka kadhaa
Maalim Seif S Hamad, CCM kuua wafuas wa CuF
Jan 2001, kutukanana, kudhalilishana na mamia
kukimbia nchi 2001,
lakini Leo yupo ktk serikali ya
umoja na CCM coz lengo kuu ni kuacha siasa za
uhasama ili kuspeed up maendeleo ya
wazanzibari ila Maalim angekuwa na akili za
wanaompinga mbowe kumleta Lowasa CHADEMA
asingekubali pendekezo LA serikali ya umoja
kitaifa na lait wanaomponda Mbowe wangekuwa
washaanza kufwatlia siasa tangu angalau
2009/10 wangemponda sana Maalim kushirikiana
na CCM, ila tunaona wanaopnga weng ni
wahafidhina wachache ndan ya CCM
vipi Nape kumdiss Kikwete 2005 akiwa kampen
meneja wa Malecela kabla ya kuamia kwa
TeamMwandosya, alisema

"kama Kikwete
akishinda urais ntakimbia nchi".

Lakin mwisho wa Siku Nape yupo Tanzania, kateuliwa
na Kikwete ktk sekretariet yake ya chama na
wanashirikiana katika interest moja kuhakikisha CCM
inazid kulia.

Staki kuongelea sana bifu ya NCCR vs CUF 2001
kule Zanzibar na kuwasababshia wapoteze majimbo
kadhaa ila Leo wanashirikiana wakiwa na interest
moja kuing'oa CCM
Je tumesahau bifu ya Mzee Wasira vs
CCM & Warioba kupelekana had mahakaman,
kutukanana ila Leo wako pamoja kaamia CCM na
ni mwanachama muim ndan ya CCM??

The same applied kwa mbunge wa zamani wa
Ubungo, Masumnuko Lamwai aliisumbua mno
CCM, walitukanana sana zaidi ya sana. Ni Mkapa
aliempora vyeti vyote Lamwai na kuacha Kazi ya
ualimu katika shule ya sheria ya chuo cha dar na
kusota sana na njaa mtaani akitia huruma kwa
kila mtu!! Lakin ni Mkapa uyouyo aliekuja na Dr
Lamwai, pale Mwembeyanga akijinadi CCM
imenasa jembe na vyeti akamrudishia!

Chakumalizia ifike mahali baazi ya watz wachache
muache ushamba mtu mzma unatumaje kivideo
unahoji;


"oohh Slaa mbona alisema Lowasa fisadi".

Kwaiyo furaha yenu ni kumwona Mtanzania anazidi kukaa
katika mfumo wa ufisadi au ajitoe?

Lowasa kuja Upinzani tutapata kujua mengi sana
mfano Mwakyembe alituficha Bungen alisema
hatasubutu kumtaja kigogo anaeusika na
Richmond coz anaogopa kuiaibisha sana serikali
lakin kuptia Lowasa kuja upinzan tumemjua uyo
mtu ni nan. Je angebak CCM si tungezid kuukum
watu vibaya kwa ripot isiyokamilika ya Dr
Mwakyembe kumbe mhusika kafichwa!!

Wenye ufahamu mzuri wa siasa hawawez kupinga
Lowasa kwenda upinzani coz wameshuudia sana
siasa zinaendaje kuanzia Mandela na makaburu
hadi nchini petu, lakini wageni wa siasa hii kitu
inawasumbua sana kiakili coz hawajawai
kushuudia tangu waanze kufwatlia siasa mahasim
wa siasa kufanya kazi pamoja kwa LENGO MOJA
wanaishia tu kupost

"siasa mchezo mchafu" coz
vitu vingi vinavotokea ni vigeni kwao.

"Adui wa Adui Yako Mkuu ni Rafiki yako"
TAFAKARI
BYE

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top