Unknown Unknown Author
Title: CRISTIAN RONALDO ALIPO JIGEUZA KATIKA MWONEKANO WA OMBA OMBA MTAANI HIKI NDICHO KILICHO MPATA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Unapo kuwa maarufu kila unaye kutana naye huwa anajifanya mwema mbele yako na anaye tamani wakati wote akae pembeni yako! Ume wahi jiuliza ...

Unapo kuwa maarufu kila unaye kutana naye huwa anajifanya mwema mbele yako na anaye tamani wakati wote akae pembeni yako! Ume wahi jiuliza itakuwaje kama wasinge kutambua kuwa wewe ni nani?
Kwa sura wala jina?

Uka katiza mitaani na kujichanganya nao bila wao kuwa na hili wala lile?

Fuatilia alicho kutana nacho msukuma soka maarufu duniani CRISTIAN RONALDO siku alipo amua kubadili kabisa mwonekano wake na kujiwekea mwonekano kama wa omba omba na kuingia mtaani huku alichezea mpira kama kawaida yake na manjonjo ya hapa na pale!!


'Mwanzoni hawa kunitaka lakini baada ya saa moja mmoja alitamani awe karibu yangu'
Alisema Cristian Ronaldo.

Je ungeweza uka mtambua Cristian Ronaldo katika hali kama hii au mchezaji yeyote maarufu akitokea ana cheza mitaani mchezo ambao ume mfanya awe Milionea?

Walicho kifanya jamaa hawa wali mvisha suti,waka mvisha na nywele za bandia(wigi),aka vaa miwani ya jua na ndevu za bandia! Waka mwacha mtaani Madrid,Spain ili acheze soka mtaani.


Baada ya kushindwa kuvuta umati wa watu wa kucheza naye na aka nyimwa namba na moja ya msichana aliye mwomba akiwa mtaani humo Cristian Ronaldo alijikuta akicheza mpira na mtoto mdogo aliye julikana kwa jina moja la NICOLAs.
Mtoto huyo Akiwa anacheza na mtu asiye mjua kuwa ni nyota wa soka Ulimwenguni! Ronaldo alichukua ule mpira na aka andika jina lake kwenye mpira kama autogragh kwa mtoto huyo! Walipo weza kumtambua mara moja kila mtu alijikuta ame duwaa na kupigwa na butwaa.

Taarifa kutoka kwenye chanzo kingine zaidi:

"... Katika kile wasichokitegema wananchi wa Madrid walimpita super star wa soka Cristiano Ronaldo ambae alijibadilisha sura na kuwa kama babu omba omba.

Ronaldo alifanyiwa make up kuifanya ngozi yake kuwa kama ya mzee. Pia alivalishwa nywere ambazo zimechoka pamoja na mandevu mengi na mustach. Zaidi ya hapo akavaa manguo mengi yaliyochoka na kuwenda mitaa jiji Madrid.

Kitu cha ajabu ni kwamba omba omba huyu alikua anasakata kabumbu kupita kiasi pale mtaani ambapo watu wakaanza kumshangaa. Wengine walipasiwa mpira lakini walimpotezea.

Dogo mmoja ambae alikua anacheza mpira na ombaomba huyo alipata bahati ya kusaini mpira huo na Ronaldo alivua mandevu na watu wakaanza kumshangaa na kumjalia..."



Naam;Saa moja kabla hakuna aliye jihangaisha naye alipo kuwa mtaani,Lakini baada ya saa moja mbele ili geuka stori kwa kila mtu,ndugu na jamaa mjini Madrid!


Soma Zaidi;

One minute they didn't want me, one hour later, they're all on me. 

Would you be able to spot Cristiano Ronaldo, or any superstar athlete for that matter, if they were roaming the streets in disguise and playing the sport which has made them millions of dollars? ROC by Monster was wondering that exact thing, so they put a body suit, wig, beard and sunglasses on Ronaldo and had him play with a soccer ball in Madrid, Spain. 

After failing to engage most people and getting rejected when asking one girl for her phone number, Cristiano started playing with a kid named Nicolás. Following some one-on-one time with the unsuspecting youngster, CR7 picked up the ball and signed it. Little did he know that he just played against and was getting an autograph from one of the best soccer players in the world today. Once everyone noticed it was Ronaldo, all hell broke loose. 

Less than an hour ago, no one even bothered to approach him. One hour later, these people had a crazy story to share with their family and friends. 
Credit:Complex.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top