Unknown Unknown Author
Title: SOMO LA KWANZA:KWA WAHITIMU WA ELIMU YA JUU WANAO SAKA AJIRA.....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nilifarajika na kujawa na furaha sana ulipo niambia kuwa umesha hitimu masomo yako ya elimu ya juu mwezi jana. HONGERA SANA! Ni hatua n...


Nilifarajika na kujawa na furaha sana ulipo niambia kuwa umesha hitimu masomo yako ya elimu ya juu mwezi jana.
HONGERA SANA!

Ni hatua nzuri na kubwa mno maishani hasa kutimiza malengo yako uliyo kuwa umejiwekea.

Lakini zaidi ni faida kwa taifa lako kwani litahitaji kutumia huo ujuzi na maarifa ulio upata hapo jikoni waliko kuwa wana kupika.

Swali ni AJIRA je itakuwaje?

MJUMBE BLOG tume ona sio dhambi kama tutakushirikisha ujuzi huu na wewe mdau wetu ili kama uta uelewa uutumie kama njia ya kufikia malengo yako.


Njia ya kupata ajira kwa mhitimu uliye toka chuo juzi tu tume kuwekea hapa kwa mtindo wa masimulizi;Soma zaidi:


Mfanyabiashara maarufu na aliye kuwa ame fanikiwa mno kwenye biashara zake kuna siku alihudhiria dhifa(function),akajikuta ana kutana na mmoja ya wana wa mfalme wa nchi yake.

Kijana huyo ambaye kuna siku alitegemea aje kuwa Mfalme ali tamani kujua kuhusu kazi na shughuli za mfanya biashara yule!
Siri ya mafanikio yake na mazingira yake ya kazi kwa ujumla.


Mfanyabiashara yule alimjibu kijana yule kuhusu maono ya biashara yake,huduma za kijamii ambazo biashara yake huwa inajishulisha nazo,uaminifu kwa wateja,kuwa jali wateja wake na mambo ambayo yana fanana na hayo.

Siku ya pili yake yule kijana(mwana wa Mfalme ali mpigia simu mfanya biashara yule akiwa na pendekezo ambalo sio la kawaida kutokea katika maisha ya kawaida.

"Unafikiri ina weza ikawa vema kama nitakuja kufanya kazi kwenye biashara zako kama mfanyakazi wa kujitolea kwa miaka kadhaa?"
Ali ongea kijana yule.

....nina amini uzoefu nitakao upata hapo utakuwa mzuri na bora zaidi kwa himaya yangu ya kifalme na taifa letu siku zijazo!

..... Mimi ni muhitimu wa shahada mbili za uhandisi na masoko naomba usinilipe chochote kile.

....na sitajali cheo/nafasi utakayo niweka hata nikiwa dereva wako tu nitashukuru.

Mfanyabiashara yule alipo gundua kuwa kijana yule yupo serious ikabidi amkubalie ombi lake.

Una mwajili vipi mtu ambaye hataki alipwe fedha?

Utampa motisha gani ili aweze kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi kila siku kijana kama huyu?



Ita endelea....

Share & Like ukurasa wetu wa MJUMBE BLOG ili wengi wafaidi ujumbe huu.

Maoni Piga 0752025002

Watsapp:0719106096



Credit:Strive Masiyiwa
Some Leadership Lessons, For Those In The
Senior Tentmaker Class.
(Part 4): The "Volunteer Prince"

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top