Unknown Unknown Author
Title: KUHUSU MAJAMBAZI WANNE WALIO UAWA TUNDUMA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Meza yetu ya habari ime pokea taarifa za jaribio la UJAMBAZI lililo shindwa katika wilaya ya Momba. Mnyetishaji wetu ame kaririwa akise...

Meza yetu ya habari ime pokea taarifa za jaribio la UJAMBAZI lililo shindwa katika wilaya ya Momba.


Mnyetishaji wetu ame kaririwa akisema.

".... Leo hii majira ya saa 11:30hrs majambazi 4
wote raia wa Zambia, wakiwa na silaha
SMG na STERLING GUN walivamia
mfanyabiashara mmoja dukani kwake
Tunduma Wilaya ya Momba ambako,
waendesha bodaboda waliripoti tukio hilo u
jambazi, bila kuchelewa wananchi kwa
kushirikiana na Polisi walikwenda kupambana
na majambazi hao (Live) na mapambano
hayo yalidumu kwa zaidi masaa mawili na
mwisho wa mapambano majambazi
walizidiwa nguvu na waliokamatwa na
bundiki zao mbaroni..."

PONGEZI kwa wana nchi wa TUNDUMA kwa kuweza kuwa fichua wezi;pongezi kwa jeshi la polisi Imara nchini kwa kutoa ushirikiano mara baada ya wananchi kuhitaji msaada wenu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top