Unknown Unknown Author
Title: PICHA:MWANA AKIOLOJIA/MHIFADHI WA HISTORIA YETU KAMA TAIFA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mhifadhi makumbusho ya Elimu viumbe ndugu Aloyce Mwambwiga;Ndani ya bone la Oldvai akiwa na wageni wake. Wana Akiolojia huchimbua ari...

Mhifadhi makumbusho ya Elimu viumbe ndugu Aloyce Mwambwiga;Ndani ya bone la Oldvai akiwa na wageni wake.





Wana Akiolojia huchimbua aridhi ili kupata mabaki ya kale na huyatumia kutambua shughuli za kiuchumi,aina ya mimea,wanyama na hata imani za jamii za kale.

Pichani ni ndugu Aloyce Mwambwiga akiwa ndani ya eneo linalo tumiwa na watafiti mbali mbali wa elimu ya akiolojia kupata sampuli mbali mbali kwa ajili ya utafiti wao.

Sampuli anuai zilizo chimbuliwa katika bonde la Olduvai na maeneo mengine ndani na nje ya Afrika mashariki zime hifadhiwa kwenye jumba la makumbusho la taifa lijulikanalo kama makumbusho ya hifadhi Elimu viumbe.

Anavyosema mhifadhi ndugu Aloyce Mwambwiga;

"Archaeology is a back breaking course...
...namkumbuka Elgidius Ichumbaki kwa
maneno haya!!!!"

Adventure ndio mtindo wa maisha alio uchagua Mdau wetu....
Mimi hua napenda nimwite Mwalimu wa watalii;yeye ana penda aitwe Mhifadhi.

Naam;
Mhifadhi wa historia yetu kama taifa.

Anapo kuwa kazini....
Kwani maisha na kazi ni vitu ambavyo haviwezi kutengabishwa kamwe.

Lakini pia baada ya kazi,tunapo pata fursa ya mapunziko/rikizo kwa mwaka tutenge muda wa siku chache kwa mwaka kwa ajili ya kujifunza mengi na uhalisia wa nchi yetu.

Asante ya picha:
#Adventure for Life!
A wild being...
Aloyce Mwambwiga.

Na MJUMBE sr
0752025002

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top