Mgombea ubunge w a jimbo la Mbozi Ndugu Pascal Haonga akinadi sera zake kwa wana Halambo jana.
Ndugu Pascal Haonga alivyo pokewa kwa Ngoma za asili na wana kijiji cha Halambo alishindwa kujizuia na akaamua kucheza pia(wa pili kutoka kushoto mwenye sare ya kaki na kofia nyeusi pichani).
Post a Comment