Mgombea ubunge wa jimbo la Lushoto mkoani Tanga, Mohamedi Mtoi Kanyawana wa UKAWA kupitia CHADEMA, amefariki dunia jioni hii baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata ajali wakiwa wanatoka kwenye kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea.
Mpaka mauti yanamkuta Mohamed Mtoi, alikuwa ni afisa Mwandamizi Idara ya Uratibu wa Kanda makao makuu ya CHADEMA.
![](https://fbcdn-photos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/t31.0-0/p552x414/11934537_952899704767348_8606386427849193382_o.jpg)
![](https://scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/10624828_10203716842734630_6575477097215969055_n.jpg?oh=16f556b117777a4c775e0a1a28487832&oe=565F0FC5)
Post a Comment