Unknown Unknown Author
Title: KUMRADHI PICHA SIO NZURI:MSAFARA WA HECHE WAVAMIWA;VIFO VYARIPOTIWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msafara wa mwenyekiti wa zamani wa BAVICHA na mgombea ubunge wa jimbo la Tarime vijijini Mh John Hec...

Msafara wa mwenyekiti wa zamani wa BAVICHA na mgombea ubunge wa jimbo la Tarime vijijini Mh John Heche, Jana   umevamiwa na vijana ambao wanasadikiwa ni wa chama cha mapinduzi CCM, na kumuua mlinzi mmoja wa kikosi cha Red Brigedi katika kata ya Nyanungu.



Baadhi ya waliokuwemo kwenye msafara huo,wameumizwa sana na hali zao sio nzuri. Mgombea Ubunge yupo salama kabisa/
Mtandao  huu  tutaendelea  kuwaletea  habari  zaidi  




About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top