Bw;Musa Mdede ambae ni mgombea wa ubunge katika jimbo la
kalenga mkoani iringa ampabo leo anatagemea kufanya leo mkutano
mkubwa ,
MKUTANO MKUBWA WA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA Ndugu JUMA DUNI HAJI
UTAFANYIKA KWENYE JIMBO LA KALENGA AMBAPO MGOMBE UBUNGE KATIKA
JIMBO HILO BW MUSA MDEDE ANATEGEMEA KUWEPO KUONGEA NA
WANANCHI,
KWAHIYO KAMA UPO IRINGA HAKIKISHA UNASHARIKI MKUTANO HUU ILI
UWEZE KUSIKIA SERA KUTOKA KWA KIJANA HUYU AMBAE ANAGOMBE UBUNGE
KATIKA JIMBO LA KALENGA KWA NIA YA KUWALETEA WANANCHI
MAENDELEO KATIKA JIMBO HILO ,
KWAHIYO KAMA UPO KATIKA JIMBO LA KALENGA HAKIKISHA UNAMCHAGUA
Bw MUSA MDEDE ANAKUWA MBUNGE WAKO ILI AWEZE KUKULETEA
MAEBDELEO AMBAYO UMEYAKOSA KWA MUDA MREFU,
MTANDAO HUU TUTAWALETEA MATUKIO YOTE YA MKUTANO AMBAO UTAFANYIKA LEO.
Asante Tanzania Classic
Asante Tanzania Classic
Post a Comment