Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA MPYA KUHUSU MAHAKAMA YA KIMATIFA ICC KUSIMAMIA UCHAGUZI !OCTOBA 2015!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
. Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 kuna taarifa ambazo zilikuwa zin...
.
.
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 kuna taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa hivi karibuni kwamba Mahakama ya kimataifa ya ICC itakuja Tanzania kusimamia Uchaguzi.
Sasa leo ripota alikutana na Mkurugenzi wa huduma za kisheria wa tume ya Uchaguzi, Emmanuel Kawishe kupata majibu sahihi kuhusiana na taarifa hizo..‘Kawaida taasisi ili ije kutazama uchaguzi lazima itume barua ya maombi lakini kwa ICC bado hawajaomba na kuna category  za taasisi  zinataka kuomba kwa hiyo kama itaangukia kwenye sifa basi tutaruhusu lakini kama hiyo taasisi haina sifa haturuhusu, kwa sasa tumepokea taasisi za kimataifa kama 20 na za hapa ndani ni zaidi ya 60’ – Emmanuel Kawishe
Kwa hiyo tunaendelea kupokea na tunaendelea kuangalia taasisi zingine zinakosa vigezo tunawaambia taasisi zenu hazijakizi vigezo nendeni halafu mrudi tena kwa hiyo wale wanaokizi vigezo tunawapokea‘ – Emmanuel Kawishe
Credit:MilardAyo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top