Bando la kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan,likiwa limeshikwa na wananchi katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana
Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni.
Chopa iliyomsafirisha Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan ikiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana, ambako mgombea huyo alihutubia mkutano mkubwa wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akipanda jukwaani baada ya kuwasili kwa Chopa, katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, kuhutubia mkutano wa mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwa Chopa kuhutubia mkutano wa kampeni jana kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga.(P.T)
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadili jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Sumbawanga mjini Aeshi Hilary, wakati wa mkutano wa kampeni aliofanya jana katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jatika jimbo hilo mkoani Rukwa
Wananchi wakiwa wamefurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa jana katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
Mjumbe wa Kamati ya kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo alipohutubia mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika jana katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa
Mjumbe wa Kamati ya Kamapeni ya CCM Kitaifa Mwigulu Nchemba, akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini Aeshi Hilalry katika mkutano wa kamepni wa Mama Samia (kushoto), uliofanyika jana katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.
Wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni uliofanywa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Sumbawanga mkoani Rukwa
Mgombea Ubunge jimbo la Sumbawanga mjini Aeshi Hilary akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika jana katika jimbo hilo mkoani Rukwa
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni aliofanya jana katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sulhu Hassan akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Sumbawanga mjini Aeshi Hilary katika mkutano wa kampeni aliofanya kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine katika jimbo hilo mkoani Rukwa
Vijana wa kazi wakiwa pamoja wakati wa mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika jana katika Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jimbo la Sumbawanga mjini mkoani Rukwa.
Post a Comment