Pichani ni mkutano wa mwisho wa ndugu Pascal Haonga katika moja ya kijiji jimbo la Mbozi alio ufanya kufungia kampeni zake tarehe 24 Oktoba 2015
Aliye toa mkono pichani kwenye gari jeupe Pichani ni ndugu Pascal Haonga akiwasili katika viwanja vya mkutano kuhitimisha kampeni zake katika jimbo la Mbozi tarehe 24 Oktoba 2015
Aliye wahi kuwa kada wa CCM ndugu Mzee Twinzi akinadi sera zake Mbele ya Umti ulio jitokeza katika wa ndugu Pascal Haonga,kuhutumisha mkutano wake wa kampeni.
Post a Comment