Unknown Unknown Author
Title: JIMBO LA MBOZI HAONGA AMENG'ARA;NIME KUWEKEA HAPA PICHA TANO ZA MWANZO AKITANGAZWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni ndugu Pascal Haonga akipokea hati ya kutangazwa rasmi kuwa Mbunge wa jimbo la Mbozi,leo asubuhi katika viwanja vya bomani,pale...
Pichani ni ndugu Pascal Haonga akipokea hati ya kutangazwa rasmi kuwa Mbunge wa jimbo la Mbozi,leo asubuhi katika viwanja vya bomani,pale mji mdogo wa Vwawa Mbozi.
Ndugu Pascal Haonga akipongezwa baada ya kutangazwa rasmi kama mshindi wa nafasi ya ubunge Jimbo la Mbozi na baadhi ya wananchi wachache walio kuwepo kwenye viwanja hivyo vya bomani mji mdogo wa Vwawa,Mbozi.
Pichani ni Ndugu Pascal Haonga muda mfupi kabla ya kutangazwa akiwa mwenye tabasamu,katika viwanja vya bomani pale Vwawa leo
Muda mfupi tu baada ya kutangazwa ndugu Pascal Haonga ali pokewa na wananchi wachache walio kuwa wana shuhudia tukio hilo pale bomani mji mdogo wa Vwawa.

Ndugu Pascal Haonga ametangazwa kama mwakilishi wa wananchi kupitia tiketi ya CHADEMA/UKAWA katika jimbo la Mbozi kwa kura 36362 zidi ya Kura 34584 alizo pata aliye wahi kuwa Mbunge wa jimbo la Mbozi mashariki kwa zaidi ya miaka kumi ndugu Godfrey Zambi,ambaye pia ni mwenyekiti wa mkoa wa Mbeya CCM.


MENGI ZAIDI YALIYO JILI KATIKA ENEO LA KUKUSANYIA KURA NA YATAKAYO JILI BAADA YA HAPA KUHUSU PASCAL HAONGA TUTAKUWEKEA HAPA!


Picha Zetu hisani ya Mpiga picha wetu.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top