wazazi na walezi wa shule za sekondari wilayani ludewa mkoani njombe wametakiwa kukaa na kujadili ni namna gani wanajipanga katika kuongeza kiwango cha elimu kufuatia agizo la mh, rais wa jamhuri ya muungano ya tanzania dk,john pombe magufuli kuwahakikishia watanzania kuwa elimu ni ya bure.
Afisa elimu sekondari wilayani ludewa bw,MATENUS NDUMBALO akiwa aofisini kwake amesema amewaagiza wakuu wote wa shule za sekondari wilayani hapa, kuhakikisha wanakaa na kujadiliana na wazazi kuhusu agizo la raisi la elimu bure kwa kuangalia mahitaji muhimu ya wanafunzi .
Post a Comment