
Mbunge wa jimbo la Kilombero Kupitia tiketi ya Chadema Mh Peter Lijualikali amekabidhi gari lake kwa wananchi wa kilombero Chini ya usimamizi wa ofisi ya mbunge kwa ajili ya shughuli za kijamii ikiwemo kubebea wagonjwa,Kusaidia kwenye misiba nk
Gari alilotoa ni land Rover Defender 110 lenye Namba za usajili T 166 DFR
Post a Comment