Pichani Mpiga picha wetu wa MJUMBE BLOG (Kulia) aki ji adjust na Miundo mbinu ya wilaya ya Ludewa,Siku chache zilizo pita.
Naam,
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Anaye winda Sungura na yule aliye amua kuwinda NYATI...
Anaye winda nyati,Hata kama atamwona Sungura akikatiza pembeni yake,Ataendelea kuelekeza shabaha yake kwa nyati aliye mlenga na sio Kwa Sungura anaye katiza!
Maana ana jua wazi kuwa kama ata diriki kutumia risasi yake kumrushia Sungura asimpate,Atasababisha hata nyati asikie mlio wa bunduki yake kisha akimbie..
Lakini pia ana weza aka waamsha Simba na Chui walio kuwa wame lala kando ya wale Nyati alio kua ana wawinda!
Hivyo ita mlazimu kuwa MAKINI mno na kuhakikisha ana vuta subira kabla haja amua kurusha risasi yake kwa Nyati! Ni bora akamwacha nyati apite lakini sio Arushe risasi yake bila kuji hakikishia Matokeo chanya.
Na hapa hatuongelei kumpata Nyati tu bali hata Usalama wake baada ya kufanikiwa kumkamata Nyati.
MJUMBE wetu

Post a Comment