Unknown Unknown Author
Title: PICHA:ABUNI NYAMBIZI YENYE THAMANI YA DOLA 770,ZA KIMAREKANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkulima wa China Zhang Shengwu amebuni nyambizi ya aina mpya na kupata hataza ya serikali ya China. Nyambizi ina urefu wa mita sita, ambayo...
Mkulima wa China Zhang Shengwu amebuni nyambizi ya aina mpya na kupata hataza ya serikali ya China. Nyambizi ina urefu wa mita sita, ambayo inaweza kuzama kwa mita 1 hivi. Gharama ya utengenezaji wa nyambizi hiyo ni dola 770 hivi za kimarekani.





@Cr Kiswahili

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top