Pichni juu Mtuhumiwa wa shitaka la kumkashifu na kumkejeli Rais Magufuli, kwa kumuita (bwege), Isaac Emily (wa pili kushoto), akisindikizwa na polisi wakati alipofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha
HAYAPA MAAMZI YA MAHAKAMA:
Kijana Isack Habakuki (40) aliyeshitakiwa akidaiwa kumtukana Rais MagufuliJP kwenye mtandao wa 'Facebook' amehukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya milioni 7.
Ameamua kulipa faini hiyo kwa awamu mbili, mwezi Julai na mwezi Agosti!
***
Post a Comment