'Tulikuwa tunafuatilia kwenye revenue, yuko mtu mmoja alikuwa anafanya transaction ya fedha kila dk 1 kati ya milioni 7 na 8. Serikali ilikuwa inapoteza pesa, bahati nzuri huyo mtu yuko mikono salama, tunatafuta jinsi ya kuzirudisha''
Kauli hii imeniacha njia panda, kwamba huyu mtu
- Alipata wapi ujasiri wa kuhamisha kiashi hicho cha fedha kila baada ya dakika moja?
- Hizo fedha zilikuwa kwa wema au ubaya?
- Huyo mtu ni nani mpaka asitajwe wananchi wakamjua?
- Yuko mikono salama, Hiyo mikono salama ni ipi kwa mtu wa namna hii?
- Watazirudisha vipi pesa zote alizohamisha?
- Amekuwa akihamisha pesa kwa muda gani na mpaka anawekwa mikono salama alikuwa kashachukua kiasi gani?
- Atapelekwa mahakama ya uhujumu/mafisadi?

By Chachu Ombara/JF
Post a Comment