
#KIMATAIFA:Wizara ya Fedha ya Afrika Kusini kwa amri ya Mahakama ya Katiba , imemuamuru Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kulipa Dola 500,000 kama fidia ya fedha iliyotumika, kinyume na sheria katika kashfa ya kukarabati nyumba yake kwa kutumia fedha za umma.
Post a Comment